kajua kale mama kateremke kajua kale, kateremke.

huu wimbo wa zilipendwa sijui uliimbwa na band gani na sijui unaitwaje, nautafuta sana.
 
Wadau natafuta ngoma kali ya bongo flavor inaitwa nadhan "MAMA" by Masterbros ya miaka 2002 au 2003 na 2004 msaada!
Aaah mama yangu mama..ujue nakupenda sana/
Aaah nisingeishi..bila wewe mamaaa/
Ooh kila napokuona..machozi yananitoka/
Nkikumbukaa mateso ulioyapataaa/

Dah mzee utakuwa mtu wa Morogoro wewe miaka hiyo.[emoji119]
Hii ngoma nmeitafuta miaka bila mafanikio. Nlibahatika kuipata Ile "Nini maana ya maisha"
Masterbros.
 
Kuna wimbo umeimbwa kwa mahadhi ya kisauzi ni kama worship song ila una kiswahili ndani yake anayeujua naomba msaada maana hata muimbaji simjui nliousikia mahali fulani jana

natanguliza shukrani
Jumapili njema muende kanisani
 
Ungesema ni wanchi gani kati ya hizo mbili iwe rahisi mfano Teamo wa rayvany una mahadhi ya kimeXicana ila una lugha ya kishwahili ni wa Tanzania ila kuna Teamo mingi Duniani.
 
Kuna wimbo umeimbwa kwa mahadhi ya kisauzi ni kama worship song ila una kiswahili ndani yake anayeujua naomba msaada maana hata muimbaji simjui nliousikia mahali fulani jana

natanguliza shukrani
Jumapili njema muende kanisani
Labda huu? Ila sio worship song.
 
"Kijogolo sina nyumba" wa Chezimba band iliyokuwa Morogoro enzi hizo !
 
Wadau naomba nyimbo ya vitaimana ya ferre gola,asosie fali ipupa
 
Ule wimbo wameimba na FANANI. Umetisha sana
Nakuongezea na mwingine alioimba na marehemu D Rob. Huu hapa man. Enjoy.
Kiongozi usisahau karata dume ya Afande sele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…