Nautafuta ule wimbo ambao BEAT yake mara nyingi ilikuaga inapigwa kwenye kipindi cha DIVA loveness love cha ALA ZA ROHO,,,, ile beat au mdundo uliokua unatumika kunogesha kipindi cha diva basi nyimbo yake ndo naitafuta
paula deanda - when it was me
 
Habari...?mimi natafuta wimbo MASIMANGO umeimbwa na TOT Band (Waziri Sonyo na Banza Stone)M/Mungu awarehemu
 
Ni ngoma gani ya kitambo sana umetafuta bila mafanikio...itaje hapa tunaweza kupeana.

Mimi natafuta sana ngoma ya Ngwea, Ferooz, Juma Nature, Majani inaitwa Mida Mibovu. Nimetafuta sana hata huko Youtube hakuna.

Ngoma nyingine ni Ngwea, Babu wa kitaa na wengine kibao inaitwa BATA BOYS jamaa wanachana saana sijui nitaipataje?

Vipi kuhusu wewe mdau?

#forgive Me
 
Ha ha ha ha ha sahihi kabisa duuu, fanya utafute huyo msanii ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia natafuta wimbo nahisi waliimba bima lee, una maneno kama tabu na wewe, shida na wewe, mikosi na wewe. Msaada jaman unanikumbusha mbali sana
 
Kwema wadau....

Natafuta wimbo uliimbwa na patcho mwamba nadhani alishirikiana na tarsis masela unaitwa simama imara au kenedy otieno.....

Nice day!
 
Habar wanajukwaa,,naomba wimbo wa ABBY SKILLS unaitwa DAMPIZI nimeutafuta sana ila kuupata imekuwa vigumu kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…