Suma Lee kosa langu ninMimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana
Ay ft Maurice kirya_binadamuwa A.Y Na nai sijui yule Chorus yake ni u SHOULD THINK ABOUT TOMORROW NOT ONLY TODAY sijui na nini nini
Unaitwaje?Hujaimbwa na Wenge Musica bali umeimbwa na Les Bulla.
Mwenye wimbo Wa wachuja nafaka uitwao 'ya Leo kali' anisaidie pliz nmeutafuta mwaka Wa pili huu cjaupata
Vyone chakachaka i'm burning up. Nausaka sana
Hii mm nna yo ila nashindwa namna ya ku_apload humuNyimbo ya kwanza ya Emmanuel nkulila inaitwa pain in me
NTASHUKURU UKIZIWEKA HAPA MKUUNna simu yangu na ndugu zangu
Nyimbo ya kwanza ya Emmanuel nkulila inaitwa pain in me
Natafta wimbo unaoitwa candidat na mobiso ulioimbwa na Franco mkongoman akimsifia mobutu.