Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia. Yaani nazitafuta sana
Suma Lee kosa langu nin
 
Long distance love, ulikuwa kwenye collection ya Broken Hearts Vol. 27
 
Natafta wimbo unaoitwa candidat na mobiso ulioimbwa na Franco mkongoman akimsifia mobutu.
 
Asante kwa jitahada zako, lakini sio wimbo huo. Huu ninaoutafuta mimi ulikuwa enzi za ogelea Piga Mbizi
 
natafuta wimbo wa watoto show, ya radio one jumamosi kipindi cha watoto, ule mziki unaopigwa kabla ya kuanza kipindi cha watoto
 
Na ndipo ndipo kaja bwabwaja bwaja bwajaa, makonda hivi ni kwa nini ahaa kwanini.... Hivi ni kwa nini ahaa kwanini.

Muimbaji nimemsahau ila kuna kipindi flani aliwahi kuwa mtangazaji wa radio one
 
Back
Top Bottom