fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Asanye sana boss
Wimbo unaitwa Hello umeimbwa na Blad Key,nenda opera upoWimbo unaitwa hello....
Jamaa a naomba choras
Helow...... Ukiwa mbali unanitesa
Helow...... Hofu na mawazo Nime jaza
Helow...... Sijuh anaitwa Nani nitafuta haupo kwenye platform nyingi ni wa Zaman kidogo
Kuna wimbo mmoja nliuskia unapigwa ea radio juzi jpili uyo alieimba ameimba kwa lafudhi ya kichaga yaan kama anaongea hz af biti afu anaelezea kuwa kuna siku walikua wamelewa yaan anelezea mambo ya uko rombo rombo sjui arusha ni ngoma flani ya taratiiibu hv
Nimeupata mkuu😄😄😁Rafaeli-Ni namna gani tutaweza tukawini maishani
Mkuu naomba ekibindankoi, natanguliza shukurani mkuu wanguTupo pamoja boss
Mwaka 1996 nyanda za Juu kusini, Huu Wimbo ulikua ni Wimbo mkuu wa harusi ya ndugu yangu mmoja... Ilikua ni Shangwe, Nderemo na Vifijo....Mkuu naomba ekibindankoi, natanguliza shukurani mkuu wangu
Hope mmeupata. Kama bafo text me whatsApp 0623972156Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".
Kama ni Huo amesema, ni huu. EnjoyWimbo unaitwa hello....
Jamaa a naomba choras
Helow...... Ukiwa mbali unanitesa
Helow...... Hofu na mawazo Nime jaza
Helow...... Sijuh anaitwa Nani nitafuta haupo kwenye platform nyingi ni wa Zaman kidogo
AsanteKama ni Huo amesema, ni huu. EnjoyView attachment 2535405
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nauomba mkuuMwaka 1996 nyanda za Juu kusini, Huu Wimbo ulikua ni Wimbo mkuu wa harusi ya ndugu yangu mmoja... Ilikua ni Shangwe, Nderemo na Vifijo....
Nikiukumbuka na kuusikia nawakumbuka na kuwaombea kheri wazidi kudumu daima.
LANGA - RAFIKI WA KWELIRafiki wa kweli by Langa