Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo unaitwa hello....

Jamaa a naomba choras

Helow...... Ukiwa mbali unanitesa
Helow...... Hofu na mawazo Nime jaza

Helow...... Sijuh anaitwa Nani nitafuta haupo kwenye platform nyingi ni wa Zaman kidogo
 
Wimbo unaitwa hello....

Jamaa a naomba choras

Helow...... Ukiwa mbali unanitesa
Helow...... Hofu na mawazo Nime jaza

Helow...... Sijuh anaitwa Nani nitafuta haupo kwenye platform nyingi ni wa Zaman kidogo
Wimbo unaitwa Hello umeimbwa na Blad Key,nenda opera upo
 
JAMANI MWENYE WIMBO WA ZF FT TUNDA MAN WIMBO UNAITWA SIO SIRI NAUOMBA

PIA KUNA WIMBO WA ISSA E NA BIO UNAITWA SHANI BILA KUSAHAU WIMBO MWINGINE UNAITWA SHOE SHINE UMEIMBWA NA MONA BABY FT PASHA
 
Kuna wimbo mmoja nliuskia unapigwa ea radio juzi jpili uyo alieimba ameimba kwa lafudhi ya kichaga yaan kama anaongea hz af biti afu anaelezea kuwa kuna siku walikua wamelewa yaan anelezea mambo ya uko rombo rombo sjui arusha ni ngoma flani ya taratiiibu hv

Rafaeli-Ni namna gani tutaweza tukawini maishani
 
Naombeni mwenye wimbo wa dini wa zamani unaimbika "Nasoma habari ya Sauli..alivyomuasi Bwana Yesu".....alafu kwa mbele wanaitikoa "huo ulikua mpango wa Mungu, kumtokea Sauli njiani, ili kwamba ayaache maivu..amtudie Mwokozi". Please kwa aliye nao wakuu humu.
 
Kuna wimbo mmoja aliuimba dada flan wa kizungu
Kyda-all I have

Nautafuta huu! Ni kama ragga flan hivi...
 
Mkuu naomba ekibindankoi, natanguliza shukurani mkuu wangu
Mwaka 1996 nyanda za Juu kusini, Huu Wimbo ulikua ni Wimbo mkuu wa harusi ya ndugu yangu mmoja... Ilikua ni Shangwe, Nderemo na Vifijo....

Nikiukumbuka na kuusikia nawakumbuka na kuwaombea kheri wazidi kudumu daima.
 
Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..

Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..

Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.

"Bora ukose Mali upate akili".
Hope mmeupata. Kama bafo text me whatsApp 0623972156
 
Wimbo unaitwa hello....

Jamaa a naomba choras

Helow...... Ukiwa mbali unanitesa
Helow...... Hofu na mawazo Nime jaza

Helow...... Sijuh anaitwa Nani nitafuta haupo kwenye platform nyingi ni wa Zaman kidogo
Kama ni Huo amesema, ni huu. Enjoy


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Jamani wadau, naombeni msaada. Kuna wimbo nilkuwa naupenda mno sijui kaimba nani ila Sauti kama ya banana zorro.
Baadhi ya mistari yake hii.

" Naomba unipe nafasi, nikuonyeshe penzi nnavokupenda. Hakika wanipa mawazo mengi nikiwa pekeyangu nikikuwaza.

Njooo mpenzi wangu.

Njoo mpenzi wangu.

Ingawa sina mengi ya kukwambia, moyo wangu wausumbua, kukutafuta.

CHORUS
Nafasi ndo naomba, unipe penzi tosha.. mahaba nikupe, mahaba nikupe ×2.

Naombeni wadau mnisaidie mwenye huu wimbo au hata jina la wimbo na msanii. Nitashukuru sana
 
Profesa j cHemsha bongo aisee ntashukuru sana ukinisaidia kuupata huu wimbo mkuu
 
Back
Top Bottom