Kauli ya mama nimeupata. Nimekuwekea hapa mkuu, enjoy
 

Attachments

Kauli ya mama nimeupata. Nimekuwekea hapa mkuu, enjoy
Nashukuru kiongozi kwa jitihada zako lakini huu umerudiwa na ninao nilitaka ule original ambao Bichuka katambaa sana,hiyo sehemu aliyoimba Karama Regesa ule wenyewe kaimba Bichuka.
 
wakuu natafuta wimbo wa kundi moja linaitwa kimondo sound na jina la wimbo ni nelly kama sijakosea wakuu naombeni yeyote anayeujua au anayejua hilo kindi na huo wimbo ni wazamani kidogo msaada tafadhali..... natanguliza shukrani
 
Venga boys - uncle john from Jamaica
 
Nimesaka katika library yangu sijakutana na jina hilo. Una uhakika ndio jina la wimbo?
Jina ni hilo hilo Tx moshi anaanza kuimba huo kwa mashairi haya: Ninaamka asubuhi naletewa barua toka kwa wazee kabla sijasoma naona anuani ya Matimo jirani yake baba" ×2 kisha wenzake wanaitikia "Nilipofungua ndani ninaisoma huku nalia shutuma nilizopata yarabi masikini ooh" ×2 ................
 
Natafuta wimbo wa Nay wa mitego unaitwa Mitego. Ni wa kitambo sana. Nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Kuna kile kibao kiliimbwa mara sitaki na taka weeeeh kile kilikua kinanopa mizuka kwenye kutongoza saiv sikioni kaimbwa Juma muumini
 

Attachments

Attachments

Kuna wimbo aliuimba Vicky Kamata kipindi JK anaanza urais 2006 hivi, anamfananisha JK na mfalme Suleiman, Kuna vitu kwenye ule wimbo nataka nithibitishe,, nimeitafuta sana sijapata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…