Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Boss naomba nitumie nami nimekuwa nautafuta sana huo wimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss naomba nitumie nami nimekuwa nautafuta sana huo wimbo
Kauli ya mama nimeupata. Nimekuwekea hapa mkuu, enjoyNashukuru kwa hizi nyimbo hasa hiyo ya watoto wamekuja juu,hii ya ogopa tapeli ipo youtube lakini haipo vizuri hivyo kama itapatikana iliyotoka vizuri zaidi ingekuwa poa lakini pia kama unaweza kupata wimbo wa ottu jazz "kauli yake mama ya mwisho aliyoitoa kwangu" ile yenyewe.
Shukrani kwako mdau mwenzangu wa dansi.
Nashukuru kiongozi kwa jitihada zako lakini huu umerudiwa na ninao nilitaka ule original ambao Bichuka katambaa sana,hiyo sehemu aliyoimba Karama Regesa ule wenyewe kaimba Bichuka.Kauli ya mama nimeupata. Nimekuwekea hapa mkuu, enjoy
Umetisha baba, we noma bug up na kongoleHuu hapa, twende kazi. Gonga like nyingi sana
Sio huuHuu hapa, twende kazi. Gonga like nyingi sana
Venga boys - uncle john from JamaicaWapendwa na mimi kuna nyimbo naitafuta ya wazungu ya zamani inahusu holiday. Watu wanatupiana makeki, mayai ila nakumbuka tu sehemu wanaimba "laa lalalalalala hey hey hey" X 2 then "I need some holi holi day, you need some holi holi holi day, she needs some holi holi day everybody needs some holi holi day"
Jina ni hilo hilo Tx moshi anaanza kuimba huo kwa mashairi haya: Ninaamka asubuhi naletewa barua toka kwa wazee kabla sijasoma naona anuani ya Matimo jirani yake baba" ×2 kisha wenzake wanaitikia "Nilipofungua ndani ninaisoma huku nalia shutuma nilizopata yarabi masikini ooh" ×2 ................Nimesaka katika library yangu sijakutana na jina hilo. Una uhakika ndio jina la wimbo?
Asante sana ndugu nimeupata!Nimebahatika kuupata wimbo niliokuwa nautafuta wa Anifa ya Makassy
Kuna kile kibao kiliimbwa mara sitaki na taka weeeeh kile kilikua kinanopa mizuka kwenye kutongoza saiv sikioni kaimbwa Juma muuminiHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Ni huu?Natafuta wimbo wa Nay wa mitego unaitwa Mitego. Ni wa kitambo sana. Nimejaribu kuutafuta kwenye platforms mbalimbali sijafanikiwa kuupata
Baadhi hizi hapa mkuu. EnjoyHii kitu niliitafuta kitambo pia ila kama ni unaweza pata nyimbo za bendi ya mviko sound za waziri sonyo!
Baadhi hizi hapa mkuu. EnjoyHii kitu niliitafuta kitambo pia ila kama ni unaweza pata nyimbo za bendi ya mviko sound za waziri sonyo!