Mwenye wimbo wa Kihaire group wimbo wao unaitwa "piga mbio"
 
Natafuta wimbo uliimbwa na msanii wa kike toka Uganda ndani ya wimbo huo kuna maneno kama " mvako sivuganyi nawe vigambo vyawe si vinji"
 
habar ndugu zangu!kuna nyimbo ya Haviry inaitwa TUPO SOTE youtube ipo ila haipo kwenye quality nzuri na haiishi yote km kuna mtu anayo mp3 quality msaada tafadhali
 
Kuna wimbo wa kisabato nimeusikia hii ni mara ya pili sasa nimeutafuta na siupati....

Unaimbwa

Kama ulivyokubali Toba pale msalabani
 
Mi kuna ule wimbo kainstrumento kake kanapiga

“tululu tulululu to-tuu tuluu tutuuu”

Kama unao nauomba tafadhali
Mkuu jaribu kusearch YouTube "O-Ten ft Mangustino MIMI" nadhani ndio nyimbo unaitafuta.
 
Hiyo inama nibebe kaiba BOB HAISA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…