Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Wimbo unaitwaje..?Huo wa inama inuka naangusha moja moja, nahisi ni twanga pepeta, enzi za Ali Choki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo unaitwaje..?Huo wa inama inuka naangusha moja moja, nahisi ni twanga pepeta, enzi za Ali Choki
Huo unaitwa HIDully sykes. Dada mwajuma , it goes paraparipa papapaa paraparipaa paa..
Mkuu jaribu kusearch YouTube "O-Ten ft Mangustino MIMI" nadhani ndio nyimbo unaitafuta.Mi kuna ule wimbo kainstrumento kake kanapiga
“tululu tulululu to-tuu tuluu tutuuu”
Kama unao nauomba tafadhali
Hiyo inama nibebe kaiba BOB HAISAKuna ule wimbo unaimbwa hivi..
🎶"Tulikutana ki mjini mjini"🎶
Halafu Kuna ule
🎶"Inama inuka eeh naangusha Moja moja Leo"🎶
Halafu Kuna ule
Unaimbwa ivi
🎶"Kama wanipenda nipe mgongo nipande unibebe mpaka kwa mama ukinifikisha ntafurahi Sanaa"🎶
Shukrani.. ngoja niitafuteHiyo inama nibebe kaiba BOB HAISA
Unaitwa "Nipeleke kwa mama"Shukrani.. ngoja niitafute
Nimeupata ASanteUnaitwa "Nipeleke kwa mama"
Jina la wimbo Sasa...?Huo wa inama inuka naangusha moja moja, nahisi ni twanga pepeta, enzi za Ali Choki
solo thang mapenziHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hiyo inama nibebe kaiba BOB HAISA
Wakuu natafuta nyimbo zifuatazo
1. Wakati Umelala wa Mwana Fa, Imam Abbas na Mangustino
2. Niamini wa Banana Zorro
3. Mtumishi wako wa Mike T, Banana Zorro na Mwana Fa
Mwenye nazo aziweke na ninaomba anitag
Wakuu natafuta nyimbo zifuatazo
1. Wakati Umelala wa Mwana Fa, Imam Abbas na Mangustino
2. Niamini wa Banana Zorro
3. Mtumishi wako wa Mike T, Banana Zorro na Mwana Fa
Mwenye nazo aziweke na ninaomba anitag
namna wadau mnavyo eleza nyimbo mnazo tamani kuzipata nacheka sana
natamani pata nyimbo ya GK mama ama nyimbo za prof. j akiwa bado na kundi lake la hard blasters
mkuu Idimi pitia hapa
Dj Yusuph ana Ngoma nyingine Usiogope feat. Jay Moe na Bongo.