Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Hio tulitatana kimjini mjini ni rap ya Msafiri Diouf wa Tanga Pepeta, sijajua ipo katika wimbo gani. Kama unajua jina la wimbo niambie nikuwekeeKuna ule wimbo unaimbwa hivi..
πΆ"Tulikutana ki mjini mjini"πΆ
Halafu Kuna ule
πΆ"Inama inuka eeh naangusha Moja moja Leo"πΆ
Halafu Kuna ule
Unaimbwa ivi
πΆ"Kama wanipenda nipe mgongo nipande unibebe mpaka kwa mama ukinifikisha ntafurahi Sanaa"πΆ
Hio inama inuka ipo katika wimbo wa password wa Twanga Pepeta (nimeuweka hapa)
Hio ya tatu ni wimbo wa Bob Haisa wimbo inaitwa nipe mgongo.