Naomba mwenye wimbo wa dini wa zamani sanaa unaimbwa hivii..
Mvua ilianza kunyesha bila kukatikaa.. ina husu safina ya Musa..
Kuzipata hizi ni ishu maana zilitoka enzi tunatumia tape 1990s huko.
 
Wakuu,huu wimbo mpya mpya wa msanii wa Nigeria wenye mistari '...just one more question...', anisaidie anayeufahamu please ndugu zangu
 
Wadau naomba mwenye nyimbo hizi
K basil ft solo thang..wanipa raha
Juma nature huwezi jua
 
Wadau naomba mwenye nyimbo hizi
K basil ft solo thang..wanipa raha
Juma nature huwezi jua
Muwe mnasoma post za mwanzo wakuu. Huu wimbo upo hapo juu. Ingia kwenye search bar utauona
 
Mimi Kuna wimbo nautafuta , ni kama ameimba mdada hivi na ni wimbo wa zamani sanaaaa.

Wimbo huo ni wa kumsifia mwalimu nyerere , Na maneno yake yanasema "Ni Wajibu Kumshukuru Mwalimu nyerereee, Aliyekianzisha Chama Chetu tanu ee""

Kama kuna mtu anaujua na akanitumia nitampatia zawadi japo pesa ya bando wakuu
 
Tafadhalini naomba mwenye wimbo wa Ray C-Vyovyote Vile
Pauline Zongo; jina la wimbo silikumbuki ila video inamwonyesha akiwa ufukweni amevalia mawazi meupe huku akipiga gitaa, wimbo aliuachia mwaka 2004
 
Naomba mwenye wimbo wa BRINTY OSSUMO-AMEN anisaidie
 
Naomba wimbo wa Hard blasters "mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa maisha niliyachezea Leo hii nalala njaa"
 
Naomba mwenye wimbo wa dini ambao hutumika kama kibwagizo TBC taifa siku ya Jpili saa nne usiku. Una maneno ya "Tumshukuru Mungu wetu aliye tujalia nchi"
 
Naomba mwenye wimbo wa dini ambao hutumika kama kibwagizo TBC taifa siku ya Jpili saa nne usiku. Una maneno ya "Tumshukuru Mungu wetu aliye tujalia nchi"
Huo wimbo nimeutafuta sana. Ila sijawahi pata kama ule wa TBC. Sijui uliimbwa na nani ule. Ila huko YouTube Kuna jamaa anaitwa M.B Syote ndiye inaonekana ndiye aliyeutunga. Ila nimeukuta huu na mingine inayofanana na huu


View: https://m.youtube.com/watch?v=aBUnMN4r6E4&pp=ygUjdHVtc2h1a3VydSBtdW5ndSB3ZXR1IGFsaXllIHR1amFsaWE%3D
 
Unaitwa nalia kwa furaha bushoke ft k lyn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…