Prince Chibu
New Member
- Apr 8, 2018
- 4
- 3
hata mimi nimeutafuta kwa muda mrefu ila nimekosa. ukiupata kuna ela ya vocha hapa.. pia wimbo wa nyasi ft nay wa mitego - imekula kwao. kuna ela ya vocha hapaJAMANI MWENYE WIMBO WA ZF FT TUNDA MAN WIMBO UNAITWA SIO SIRI NAUOMBA
PIA KUNA WIMBO WA ISSA E NA BIO UNAITWA SHANI BILA KUSAHAU WIMBO MWINGINE UNAITWA SHOE SHINE UMEIMBWA NA MONA BABY FT PASHA
Yvan Tresor - EchauffementMsaada, hii kwaito nimeitafuta bila mafanikio
Shukrani sana mkuu😃Yvan Tresor - Echauffement
View: https://m.youtube.com/watch?v=AYauzHl0-dY&pp=ygUYeXZhbiB0cmVzb3IgZWNoYXVmZmVtZW50
Mr Zumo - Usiku Usiingiemimi natakaa kujua aliyeimb ule wimbo.... ninaomb usiku usiingiee sina sijui nini
Wawili - we mkali
Kuna album moja ya kwaya ya KKKT nadhani kutoka Arusha inaitwa "Shangilieni"ilikuwa kali sana, itakuwa poa sana kama nitapata nyimbo zake.
Mimi ninatafuta wimbo wa Juma Balo unaitwa "Kapu," na wimbo wa Shakila unaoitwa "Bunduki Isiyokuwa na Risasi"Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Kionjo kipo kwenye post yangu ya kwanza huko juu.Weka kionjo tuisikie
Hakifunguki kamanda, ungekuwa ushasaidiwa. Kionjo kiweke katika mp3 ama mp4 format. Nikishakisikia huenda nikakusaidiaKionjo kipo kwenye post yangu ya kwanza huko juu.
Huo wimbo nautafutaga sana ulikua kwenye album Yake ya kwanza mama alikua anaisikiliza Kila siku ndio namimi nikampenda ray c humoKuna ngoma Ray C alitoaga sema haikuwa maarufu ilikuwa na mistari kama "we unaonaje kama ukishiriki nasi sote kwenye mambo mengii, kidole kimoja hakivunji chawaa, shirikiana mambo yawe sawaa"
Ngoma nyingine ni ya Watengwa waliimba na Stopa Rhymecca nadhani baadhi ya mistari ni kama "kipaji changu kinaeuhusu kuimba hardcore"
Kuna taarabu moja ina mistari kama "nashukuru nimestirika Mash'Allah yangu yanyooka, natembea kwa mapaana naringa mie"
Kwa kweli hizi ngoma nikizipata ntafurahi sana.
Nautafuta wimbo ,mwimbaji nishamsahau ila unaitwa CHAP CHAP ni bongo hip hop naona ni vijana wa mwenge moja ya mistari inachanwa.
"Bado neck of the street maujanja supplier ,wanasema wana kipaji nikichana wanagwaya check time bwana muda wako una-expire ,chap chap ,cheza deal chap chap ,fanya mambo chap chap"
Zipo YouTubeMsaada nyimbo 2 za Ed Sheeran
1. Perfect
2. Shape of you
Nitashukuru sana🙏🏼