Majibu ya msalaba by bernard mukasaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Huu hapa brother. Wimbo unaitwa Chocolate, wa Mr. Paul akimshirikisha Jos MtamboDah nitafurahi
Ahsante sana mkuuHuu hapa brother. Wimbo unaitwa Chocolate, wa Mr. Paul akimshirikisha Jos Mtambo
"Lakini chakushangaza ni paale alipofariki shangazi yeetu"........daah umenikumbusha mbali sana mkuu😢Natafuta wimbo wa OTTU JAZZ BAND. Baadhi ya Mashauri yake ni:
"Wakati wa uhai wake Shangazi alinunuliwa vitu vingi na kila mmoja wetu .................."
Nitashukuru sana kama nitaupata toka kwa mwana JF anayeufahamu.
Niliweka hapo juu kwenye post za nyuma. Nauweka tenaMambo wadau natafuta wimbo wa gangwe mob nje nje ndani natanguliza shukran
Nashukuru mkuu, maana nimehangaika sana kuzitafuta hizi nyimbo.Hizi hapa
Pamoja sana ndg.Nashukuru mkuu, maana nimehangaika sana kuzitafuta hizi nyimbo.
Shukran mkuuNiliweka hapo juu kwenye post za nyuma. Nauweka tena
Asante sana Mkuu. Hata mimi binafsi wimbo huu unanikumbusha mengi sana kutokana na matukio yaliyotokea baada ya kufariki Shangazi yetu 😭."Lakini chakushangaza ni paale alipofariki shangazi yeetu"........daah umenikumbusha mbali sana mkuu😢
Ningejua jina la wimbo ningeuweka. Nitajieni jinaAsante sana Mkuu. Hata mimi binafsi wimbo huu unanikumbusha mengi sana kutokana na matukio yaliyotokea baada ya kufariki Shangazi yetu 😭.
Huo wimbo ni wa Msondo Ngoma, unaitwa Demokrasia ya MapenziNautafuta huu wimbo Wanaimba Hivi kiitikio
Baba na Mama Nipeni Demokrasia y Mapenzi Ooh
Huu ngoja miezi ya uchaguzi ikaribie utauchoka mwenyewe😄natafuta nyimbo Mbili za dini
zote ni kwaya za kilokole zote za Dsm.
wimbo wa kwanza ulikuwa kutoka kwaya ya Tabata/ Segerea
unasema:
UNANG'ANG'ANIA DHAMBI
DHAMBI ITAKUPELEKA PABAYA
Enzi hizo nilikuwa nahudhuria sana matamasha ya kidini pale Saba Saba Dsm.
wimbo wa Pili pia
ulikuwa unasema:
AMANI, AMANI
MABARAZA YA USALAMA
(ilipigwa sana kituo cha WAPO RADIO)
wakati wa uchaguzi wa kikwete.
Shukrani mkuu..Huu hapa. Enjoy.