Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
NnaoMpiga debe- Rap Nature & Q chief
Mkuu ukiupata nitag... nlishawai anzisha uzi kuhusu huu wimbo nkaambulia patupuThe late captain John Komba - Wimbo MGENI
NnaoMwenzenu nimekumbwa na kimbunga
Si kimbunga cha upepo Bali kimbunga
Cha mapenzi mama
Toka siku ile ya kwanza nilipomuona
Msichana mrembo jully nilishindwa kujizuia nikamweleza wangu ukweli yakua
Nimpenda nae akanijibu jully asante kwakunipenda.dah wakuu hii ngoma hatari aliimba Bob ludara jina silijui nisaidieni niupate
Ilikua dongo kwa ali choki, yeye kwenye uzinduzi was album ya twanga alikuja na kijiko ( greda)
hizi nazitafuta sana hasa mama wa G.K pia fanani wa HBC ya kina prof. jNaomba mtu anisaidie hizi:-
1. Mama (original version) - King Crazy GK
2. Blah blah- Mr. Two
3. Nimesimama - Mr. Two
4. Jiko limenuna - Fanani (LWP)
daaa huu wimbo nimeutafuta sana ile band ilikuwa inaitwa mass media band (kama sijakosea) jamaa ana unguruma mule si kidogo.Betty.......imeimbwa na Zahir Zorro na bendi yake baba yake Banana Zorro kwa anayefahamu jina kabisa la nyimbo anisaidie
Mkuu naomba ule wa Steve RB unsitwa Usinihukumu ft Maunda ZoroHuo Wimbo mimi nilikuwa nautafuta sana Nimeupata juzi kati Youtube huu apa,