"Ni nani huyo oh atasimama kama nehemia ahubiri neno...

Shambani mwa bwana ooh kuna mavuno, watenda kazi ni wachachee.."

Zamani huu wimbo tulikuwa tunausikia KBC radio kule kijijini kwetu natamani sana kuupata tena!
 
Huu wimbo unaitwa Jully!

Umeimbwa na Bob Rudala na Bendi nzima ya Inafrica
 
Nisaidie wimbo wa abdul misambano na raila khatibu ....niwe naweeee hadi milele ....nasema ukweliiii mpenzi ujueee ninavyo kughaaani............
Dah, wapendwa,

Mi natafuta wimbo wa Lovy Longomba, nafikiri unaitwa Amina (Sina hakika Na JINA LAKE). Ubeti mmoja unaimbwa "...kuchota maji pipa tanooo kutoka mtoniii, fikiri nitaweza vipii". Na kibwagizo kinaimbwa ".... Amina kipenzi changu Mimi sitaweza, agizo la wazazi wako linaniwia vigumu"

Nimeumiss sana kwa kweli.

Mbarikiwe sana wapendwa.

Glory to God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…