Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta taarabu moja hivi tamu sana.. Ipo kwenye tamthilia ya Siri ya Mtungi. Nadhani ipo kwenye season one ameimba Mzee mmoja wa kizanzibari anaitwa Makame Fhaki.
Taarabu hii iliimbwa siku demu wake Duma anaolewa na yule mzee mwenye wake wengi..!
Aisee nimetokea kuipenda sana ila sijui ntaipataje..![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kwa anaye ufahamu,nani aliuinba ni wa kitambo kidogo unaimbwa hivi "KILIOOONI NIMEFIKA,NAMUOMBA MOLA ANISAIDIE,NIPATE MWINGINE KUKUSHINDA WEWEEE,...." Nakumbuka maneno ila muimbaji simkumbuki
 
Kwa anaye ufahamu,nani aliuinba ni wa kitambo kidogo unaimbwa hivi "KILIOOONI NIMEFIKA,NAMUOMBA MOLA ANISAIDIE,NIPATE MWINGINE KUKUSHINDA WEWEEE,...." Nakumbuka maneno ila muimbaji simkumbuki

Ingawa rohoni nimekwisha, namwomba mola anisaidie, niweze kukusahau kabisa, nipate mwingine kushinda wewe...! Nilikupenda sana oooh mfano wa maua, lakini hupendeki bora sasa uende. Huu wimbo umeimbwa na wakenya fulani hivi
 
Back
Top Bottom