Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna nyimbo tatu za The Reapers ya Kimara.

1. Tanzania
2. Haja ya moyo
3. Majaribu

Hafu kuna mabinti wawili kwenye video hizo sichoki kuwatazama
 
NIOKOWE - CHILLI GALZ
Kwa mwenye huu wimbo tafadhali nauhitaji sana! Chili galz ni kundi la wanadada kutoka Uganda.
 
natafuta wimbo wa msondo ngoma unaoimbwa hivi [emoji443]ninapotudi nyumbanii, mama watoto kanunaa, kwa sababu ya manenoo, ya majirani jamanii, kuchunguza kwa makinii, ni wale wale binadamuu[emoji443]

pia natafuta nyimbo za maombolezo ya mwalimu nyerere:-
1. tulikuwa nae siku zote za mapambanoo,
mwenzetuu, ndugu yetuu, mwalimu nyereree
2. ndugu watanzaniaa leo yametukutaa...............
ooh walimu nyereree, ooh, ee MUNGU mpokee mtumishi wakoo
 
Mimi nimetafuta wimbo wa SDA unaimbwa dunia mfano wa meli mawimbi siasa za nchi hufananushwa nadhoruba wasafiri ni binadamu wanaozidi kukata tamaa
Nimetafuta mpaka nimechoka nasijui walioimba ni kwaya gani kama kunamtu anao au anawajua anitajie jina lao
 
Mwenye wimbo huu wa taarab toka tot taarab ya kipindi kileeeee, wimbo unaimbwa hivi

"Subiiiraa..... Subira ndo ngao yanguuu nakusubiriiiiii.... Nakusubiri sichokiii....maaauudhi si sifa yangu nakugombanaaaa sitakiii

Mwenye anisaidie tafadhali
 
Back
Top Bottom