Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Unazngua mwana
[emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa si uingie mwenyewe uutafute![emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Naomba kama kuna yeyote humu alie na wimbo wa (Watengwa family - Historia, Bob Ludala - Julie, Husein Jumbe - Kiapo mara 3, Deo Mwanambilimbi - Hilda) anisaidie tafadhali.
 
Kuna wimbo Wa kitambo jamaa wanachana saaana kwa kupokezana unaitwa "michano" sina uhakika na jina, beat yake imekaa ki hip hap, koras yake inaanzia, " hivi ni vichwa shupavu......". Mwisho inaishia "sikia..skia michanoo."
Nnao ila nashindwa procedure za kuubandika hapa
 
Kuna wimbo.. Uliimbwa na jamaa mmmoja hivi. Sijajua unaiywaje sema aliimba hivi.

Ooooh mama miaa
Kakuzimiamia aminianiaaa
Ooooo mamaa miaaaa

Nb. sio Yule Dr. jose chameleon. Jamaa alikuwa na Rasta hivi kutoka aidha Uganda au Kenya
 
Natafuta nyimbo moja ya kibongo siijui jina lake lakn kuna video vixen mmoja anacheza balaa nyimbo ina mandhari ya nyimbo ya davido aye wapo mashambani hivi jamaa kama kafanana na matonya hivi, Anaejua jina la huu wimbo wadau nitashukuru!
Anaitwa neyba - uje
 
Natafuta nyimbo za The Gaither's , Brentwood Music, na The Handel 16 ..YouTube naona sioni clean version na pia online zinauzwa can't find wapi naweza kuzidownload for free
 
Nyie wapendwa mnazingua. Mtu akija hapa na madongo dhidi ya RC mnakuja mbio kweli na kujaza Uzi, ila utamaduni wa kusaidia watu huwa hamna kabisa!
 
Back
Top Bottom