Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nautafuta ule wimbo wa "waache waisome namba ccm mbele kwa mbele" mana naona nyumba ya mwenyekiti imepigwa X
 
Naomba Mwenye nyimbo za Watengwa jamani..nimekumbuka kipindi Niko chuo kuna dogo mmoja wa Arusha alini inspire kupenda nyimbo zao.

Story ya Nyookaa

Tuna tabia mbaya
 
Nitafurahi nikipata nyimbo hizi zifuataz0

Rafiki - Mr Nice
Wachumba 30 - John Mjema
Nasonga Mbele - V2
Baby Gal - Mad Ice
Sintobadilika - Mike Tee
Maisha ya Boarding - Jay Moe
Jela - LWP
Nani kauona Mwaka - Sikinde
Zote zipo isipokuwa huo wa v2 man nimeutafta sana bila mafanikio dah, nikisikia huo wimbo wa songa mbele nalia kabisa unapeleka hisia zangu zambi kidogo na kumbukumbu flan hv
 
mi nautafuta wimbo wa kajua kale mama kateremke kajua kalee, kateremke.

nimeutafuta sana kwenye mitandao ila nimekosa. msaada mkuu
 
Zote zipo isipokuwa huo wa v2 man nimeutafta sana bila mafanikio dah, nikisikia huo wimbo wa songa mbele nalia kabisa unapeleka hisia zangu zambi kidogo na kumbukumbu flan hv
Huo wa v2 kuna mtu aliurusha humu hebu ufuatilie upo
 
Natafuta wimbo unaoitwa Zao mwimbaji Nasma Hamis, mtunzi wa wimbo huo ni Lad Jay Dee
 
MWENYE WIMBO WA INJILI UNAITWA AMENITENDEA KUTOKA KIJITONYAMA NAOMBA ANISAIDIE
 
"Nikikuuliza jambo huja juu, huja juu kipenzi changu,.
Nakujitia kununa nuna bila sababu tutaja achana bure,
Natafuta wimbo winye mistari hiyo
 
Natafuta nyimbo “ narudi nyumbani oh oh oh narudi nyumbani mama, safari ilikuwa kwako kwako wewe mama’

Na mwingine wa huzuni Kifo cha baba nalia.

Aliyenazo please
 
Back
Top Bottom