Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo unaitwa Pengo, kaimba Alicom, Stopa man ilitoka mwaka 2005
Pia natafuta Mpenzi karibu ya Inafrika Band
 
Nipe namba yako kama una whatsapp nikutumie huo wimbo wa mass media beatrice uuweke jf mm ninao ila siwezi kuuweka
Au nitafute +255752220649 nikutumie saivi
Mkuu na mimi naomba nitumie hii nyimbo 0622007272
 
Pia natafuta ile ya Parapanda group inaitwa tufungulieni, waliimba kwaajili ya watoto wa makete
 
kuna nyimbo flan ivi alikuawa akiitumia Gadna G Abash ktk kipindi cha jahazi,

ni longtime kidogo,, anayejua anitap plz
 
alafu pia kuna nyimbo flan kama dancehall, buster rhymes kashirikishwa na kundi flan la jamaica, ilitoka nadhan 2012/2013,

buster amechana fastafasta balaaa, anayejua anitag
 
wabari wakuu.Nilikuwa naomba mwenye wimbo wa fanuel sedekia anifanyie attachment hapa unaitwa Safari ya imani
 
Nipe namba yako kama una whatsapp nikutumie huo wimbo wa mass media beatrice uuweke jf mm ninao ila siwezi kuuweka
Au nitafute +255752220649 nikutumie saivi
Nashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.

Ninawaccount ni maselfish haswaaa!! Ngoja nakucheki watsapp unitumie niupandishe hapa
 
Nashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.

Ninawaccount ni maselfish haswaaa!! Ngoja nakucheki watsapp unitumie niupandishe hapa
Sawa fanya hivyo
 
Kosa la marehemu-Uswahilini Matola
 
Sio huo Mkuu
Kwa jinsi ulivyoeleza mashairi yapo katika huo wimbo naongea kitu nachokifahamu vizuri wimbo beatrice umeimbwa na mass media band chini ya zahir ally zorro! " Kilio changu ni kwako malkia wa yangu nafsiiii beatrice"
 
Back
Top Bottom