Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
Sio huo MkuuWimbo unaitwa beatrice
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio huo MkuuWimbo unaitwa beatrice
Nipe namba yako kama una whatsapp nikutumie huo wimbo wa mass media beatrice uuweke jf mm ninao ila siwezi kuuwekaSio huo Mkuu
Mkuu na mimi naomba nitumie hii nyimbo 0622007272Nipe namba yako kama una whatsapp nikutumie huo wimbo wa mass media beatrice uuweke jf mm ninao ila siwezi kuuweka
Au nitafute +255752220649 nikutumie saivi
Sheila by Esther Wasiranatafuta mwimbo unaimbwa hivi:- sheira sheira nionee huruma kwani moyo unaniuma wengi wako niwabahati niachie huyu..........
AsanteNahisi unasemea huu
Tatizo mimi nashindwa kuuweka hapa na nlishwahi omba wadau waelekeze procedure za kuweka wimbo lakini sikupata msaadaNimetafuta sijauona mkuu
Halafu wewe utupie humu ndugu, wengi tunauhitaji aseeMkuu na mimi naomba nitumie hii nyimbo 0622007272
Nashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.Nipe namba yako kama una whatsapp nikutumie huo wimbo wa mass media beatrice uuweke jf mm ninao ila siwezi kuuweka
Au nitafute +255752220649 nikutumie saivi
Sawa fanya hivyoNashangaa tangu awali watu wanapeana contacts wapeane huu wimbo lakini hakuna hata mmoja analeta mrejesho hapa.
Ninawaccount ni maselfish haswaaa!! Ngoja nakucheki watsapp unitumie niupandishe hapa
Kwa jinsi ulivyoeleza mashairi yapo katika huo wimbo naongea kitu nachokifahamu vizuri wimbo beatrice umeimbwa na mass media band chini ya zahir ally zorro! " Kilio changu ni kwako malkia wa yangu nafsiiii beatrice"Sio huo Mkuu