Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Jamani mwenye wimbo wa lekambuke na nakupenda za Caz T pamoja na simulizi za ufasaha wa gangwe mobb
 
nyimbo ya kwenye kipindi cha watoto ITV ...inaitwa the lion sleeps tonight....bahati mbaya ziko version nyingi
 
yupo na neyo? au bust it baby?
kuna wimbo wa msanii Plies kutoka marekani wimbo unaanza anaimbia kwny gari akielekea kwny jumba kubwa la kifahari ambapo anamkuta mdada na kuanza kuimba nae, nmeutafuta sana bila mafanikio...
 
Kuna jamaa alishatangulia mbele za haki jina nimemsahau alikua anaimba dance mtindo wa nywele zake nyeupe wimbo ndo naukumbuka jina lake unaitwa jela mnaweza mkanisaidia
 
"Watu wanasema nisikufuateee,tena ikibidi nisikukumbuuuke,thamani ya kitu ajuaye mwenye chakee,niacheni chozi linidondoke.Nikikumbuka iyo sura yaaake ...."

Wakuu anayeukumbuka huo wimbo naomba anitajie hata jina la wimbo au aliyenao aniwekee hapa please .

Ni wimbo aliouimba Kwa sauti zilizolangiliwa vizuuuuuurii sana.

Msaada Please,
 
Natafuta wimbo wa asili unapigwagwa kwenye kipindi cha tbc nyimbo za asili kama background unaitwa mwinga mwinga.....nisaidien
 
Asante ndugu japo siyo wenyewe. Wenyewe kwenye video yupo na dokii
 
Haya haya Baba Gaston Huyo na Kakolele Viva Christmas kitambo sanaaa daaaah
 
Back
Top Bottom