Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hivi Hawa wasanii hawajui wamekalia hela kiasi gani tu..Wakiamua kufanya tours watafunika mbaya.Hizi nyimbo zao hazichuji kabisa.

Wakiandaa matamasha ya hip hop watajaza mpaka watashangaa.Yaani siku hizi wapenzi wa ngoma kali hatuna pakwenda.Utakutana na wabana pua Mara Nyegezi nyimbo hata hazieleweki.Ujinga ujinga tu.
Uko sahihi kabisa mpwa siku hz wanaimba matusi matusi tu, na kushikana shikana vitandani. Wanaume wao kulia lia tu. Bongofleva ilikua zamani siku hz hamna kitu
 
Narusha za ziada
 
Attachments

Narusha za ziada
Mkuu Idimi shukrani sana kwa ushiriki wako unaouonyesha hapa kaka mkubwa,hizi nyimbo nyingi nimepotezana nazo na nazihitaji sana ila namna ya kuzipata ndo issue nilikuwa nazo kwenye computer ila iliingia virus zikaondoka zote na sijapata namna nyengine kuzipata.

Kama unazo nyingi nyingi naomba zitupie hapa mkuu.
 
Pamoja sana kamanda. Kama una playlist tupia hapa, tutazi upload. Uzuri wake ni kwamba jamaa wengi wanazo, kwa hio kila aliyenayo anatupiamo tu!
 
Kuna ngoma inaitwa pita kapita,nahisi aliimba tunda man kitambo hiko hajulikan kabixa.Mwenye nayo tafadhar
 
Back
Top Bottom