Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo wa RnB umeimbwa na dada mmoja wa kitambo sana nikiwa mdogo nilikuwa nakapenda sana, ulikuwa unaanza "tululuu taaa, tululuu lutaaaa" video yake kama amekaa kwenye bomber pembeni ya bwawa
😀😀😀😀

Atakua Mariah huyo
 
"Neema Mamaaaaa Usiniache Pekee Neema nitasemana nanyii mamaa,msifate wayasemayo wafitini wao wako mbelembele kuharibu mapenzi yetu mimi na nawe."

Nimeweka Audio Clip Yake sauti ipo chini sana sema kama unaujua utaugundua tu.....Natka huo wimbo wenye quality nzuri.
 

Attachments

😀😀😀😀
Sikutaka ku-comment chochote zaidi ya ku-like na kushusha TRAXX tu ila huyu jamaa ametisha sana na hiyo "tululu taaa".

Ila kwa kuwa tumelelewa na music tumeshamsoma na kumpatia anachohitaji hapo juu aisee.

☝🏼
 
Sikutaka ku-comment chochote zaidi ya ku-like na kushusha Traxx tu ila huyu jamaa ametisha sana na hiyo "tululu taaa".

Ila kwa kuwa tumelelewa na music nimeshamsoma na kumpatia anachohitaji hapo juu aisee.

☝🏼
Hahah! sure jamaa katisha mbaya maana nimecheka hapa watu wananishangaa tu
 
Rado - Hukumu ndotoni

Watengwa (Hardcore unit) - Tabia mbaya

Joh Makini - Muda & Dakika 90
Huyu Joh siku hizi wanaimba Swagiree swagiree ila yakiamua kukaza yapo vizuri, kuna goma moja la G nako yupo na Joh linaitwa Juma Ikangaa. Mzee humo ndani jama wamekaza kinoma
 
Huyu Joh siku hizi wanaimba Swagiree swagiree ila yakiamua kukaza yapo vizuri, kuna goma moja la G nako yupo na Joh linaitwa Juma Ikangaa. Mzee humo ndani jama wamekaza kinoma
Makini namkubar kipind kile anafanya Hao,Dakika 90,Muda japo kwa mbal akaanza kutoka kwenye misingi,,,siku hz simsikiliz sana
 
Natafuta wibo flani hivi jamaa wanaimba huku wakikimbilia msituni sijui ni wimbo gani ... ila ni huko ulaya ulaya ... fanyeni msaada niupate
 
Idimi naomba nyimbo za Mr. Paul ft jose Mtambo, Mr. Paul ft Mkoloni, Mr. Paul ft Inspector na hiyo nyimbo ya Harusi au kuoana ya Mr. Paul
 
Back
Top Bottom