Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo flani ni wa dini wa Zambia maarufu sana mkoa wa mbeya unaimbwa "nalisakilene sijui mini" Kama sijakosea kwa anaeujua tafadhali pm me.
 
Samahani mwenye wimbo mmoja hivi nakumbuka jamaa alikua anaitwa Maleek ngoma inaitwa Sikudhani

"Sikudhani kama ingekuwa hiviiii, sikudhani kama ungenitoka akiliniii........."
 
Siku hizi anafanya mdundiko mwanangu
Jamaa kalenga biashara,,,juz kat nipo sehm flan hv nikaiskia ile swagile,,,dah nilicheka tu,,jamaa ni wabunfu kwenye biashara ile ngoma ikipigwa kwenye maeneo ya shwange hlf uwe high kiaina,,unajkuta unabounce mwenyew tu.
 
Hahah sure bro
 
Samahani mwenye wimbo mmoja hivi nakumbuka jamaa alikua anaitwa Maleek ngoma inaitwa Sikudhani

"Sikudhani kama ingekuwa hiviiii, sikudhani kama ungenitoka akiliniii........."
Huyu anaitwa abeid. Nnao ila jinsi ya kupandisha nyimbo hapa ndio nilishashindwa

Sent from my Infinix NOTE 3 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom