Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Lumumba pale huukosi na ulivyokuwa haupendwi mtaani wanakupa bure bila hata gharama yoyote.Naomba ule wimbo wa ccm wataisoma namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lumumba pale huukosi na ulivyokuwa haupendwi mtaani wanakupa bure bila hata gharama yoyote.Naomba ule wimbo wa ccm wataisoma namba
Malick ft Q chief-Ni mzuri
Mkuu naomba unisaidie wimbo wa sello wa mandojo na domokaya halafu baby girl by banza stone
Mkuu nisaidie
Roma ft Jose mtambo -Mechi za ugenini/kidole cha mwsho juu
Mkuu gwankaja uko vizuri kumbe hata kwenye dance upo?tafadhali kaka naomba hizi:
Jirani,Kuolewa,Mwana Dsm,Aminatha,Umbea hauna posho,Chuki Binafsi,Fainal Uzeeni,Aungurumapo Simba,Lightness zote za Twanga Pepeta.
Hizi ni nyimbo ktk album zao mwanzoni mwa miaka ya 2000's,hata ukizipata kwa uchache nitashukuru.
Jamani, kuna wimbo flani hivi wa Msanii anaitwa Mwiju akiwa amemshirikisha QJay unaitwa ' siwajui Mademu' Mwenye nao tafadhali
Haya sasa skia hii..Shukrani mkuu...barikiwa pia!!
Haya sasa skia hii..
"Mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa,
Maisha nimechezea leo hii nalala njaa ChemshaBongo kabla hujapagawa ukaduwaa."
1.Professor J_Chemsha bongo.
2.Ngwea_Nipeni dili.
Mkuu hujawahi kukosea
Tafadhali naviomba vyuma hivyo.
Mchana mwema mkuu.
Mkuu nisaidie
Roma ft Jose mtambo -Mechi za ugenini/kidole cha mwsho juu
Unataka wimbo gani?
Mkuu bado hizi.
1.O ten_eyo nicheki
2.Kila mmoja anapendeza t shirt na jeans,
Akuna anayechukiza t shirt na jeans." T SHIRT NA JEANS"
Tafadhali mkuu naziomba.
Kuna ule aupendao saana jakaya