Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mimi natafuta wimbo flani wa zanzibar culture unaitwa njoo kwa ngu sijui nani aliimba hakiki mwenye nao atakuwa amenisaidia sana
 
Wimbo mmoja ulipigwa nikiwa strippers club nimelewa chaakari enzi hizo nikiwa kijana. Huwa nauwaza sana ila siukumbuki jina zaidi na-na-na-na... Ulinifanya nikasokomeza laki nzima ndani ya P ya stipper huku watu wananishangilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom