Shomary Byellah dunia
JF-Expert Member
- Oct 21, 2018
- 209
- 62
Bila kusahau wimbo mmoja kaimba msanii anaitwa kambi wimbo jina lake pesa na majumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu KIOO naomba nyimbo ya Yalaiti ila aliyofanya Matonya.Usjali mkuu tuko pamoja sana bro.
Thanks a lot.
msaada wimbo wa kikosi cha mizinga ft belle9-maisha yangu nyimbo tosha
kaka gwankaja msaada [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba wimbo wa Banza Stone, Aungurumapo Simba hucheza nani....?
Urgently please!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji wimbo wa Stive kabuya(stive kafaya)aliwahi kuwa mtangazaji wa Kiss fm na baadae Ea Radio
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna wimbo mmoja hivi wa anderground wa zamani sijui kaimba msanii gani jina limenitoka unaekezea maisha kama ya kuzaliwa mpaka unatokea duniani ulikuwa unapigwa sana radio prt kabla haujabadilishwa jina na kuitwa tbc fm na kuna mwingine jina sina uhakika na jina unahusu wanafunzi kunyanyaswa sijui unaitwa ndani ya daladala haki tunanyimwa ni rap fulani hivi
Hapa mkipita mdondeshe hizo nyimboMwenye nyimbo [emoji397] za papa wemba plz plz adondoshe kwenye hii post
Sent using Jamii Forums mobile app