Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Ninao, umeimbwa na mwanamuziki Bablee. Nikipata muda mzuri nita upload
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao, umeimbwa na mwanamuziki Bablee. Nikipata muda mzuri nita upload
Makwaito yote maarufu tumesha upload hapo juu kwenye uzi huu huu. Pekua kuanzia page ya 150 u downloadWakuu mi natafuta ule wimbo wa kwaito ambayo watu wengi wanacheza kwa harusi, jina la wimbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo nyingi humu zishawekwa....... Pitia uzi >ost za awali utazipataNaomba wimbo wowote Juma bhalo ndio ugonjwa wangu
+968 98573828 WhatsApp
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanyia wema sana mkuu kwa hizi nyimbo ubarikiwe sana sana, pole nimechelewa kuziona, Mungu azidi kukupa barakaHaya. Naanza na hizi. Enjoy
Huo wimbo hata mie nautafuta sanaKuna wimbo mmoja ameshirikishwa daz baba kipindi hicho anaitwa daz mwalimu unaimbwa hivi "mpenzi wangu chausiku wewe wangu usihofu tutafunga pingu usihofu usisikie la watu kukuoa na shauku" hichi kiitikio kaimba daz mwalimu mwimbaji nimemsahau jina