Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Bado mmoja wa chuma ulete sio WA rayvanny huo una mionyesha mzee mmoja anaenda kununua kitu dukani muuzaji anamtimua kwa kumwambia toka wewe mzee ni chuma ulete katika video ya wimbo huo kuna kipande hicho

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Wadau naomba wimbo wa
1. Mtaa wa kwanza = Ally Choki
2. Mama chichi = Suleimani Mbwembwe ft Banza stone
3. Makonda hivi ni kwa nini = Sostenesi ambakisye
4. Nyimbo za mchinga sound mle ndani kuna mtu anaitwa rogart hega.
5. Dodoma = Cosmas Chidumule

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
  1. Mpenzi wangu chausiku usisikilize ya watu hapa q chief alishilikishwa sijui mwenye wimbo ni nani msaada wana
 
Kuna wimbo mmoja ameshirikishwa daz baba kipindi hicho anaitwa daz mwalimu unaimbwa hivi "mpenzi wangu chausiku wewe wangu usihofu tutafunga pingu usihofu usisikie la watu kukuoa na shauku" hichi kiitikio kaimba daz mwalimu mwimbaji nimemsahau jina
 
Huo wimbo hata mie nautafuta sana
 
Back
Top Bottom