makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Write your reply...msaada wandugu nyimbo kadhaa za kitambo
1:ee mola _ hard blasters
2 : tupo nyuma kimaendeleo _ hard blasters
3:hili balaa _ solo thang
4: nipe gwara _ paipam soldier
5: paipam soldier ft g nako
kuna wimbo mmoja unaimbwa "wanyamwezi families forever aaha! Folever nahisi kaimba dudu baya pamoja na dogo Hamidu kipindi hicho anaitwa dogo alikuwa bado mdogo
Write your reply...msaada wandugu nyimbo kadhaa za kitambo
1:ee mola _ hard blasters
2 : tupo nyuma kimaendeleo _ hard blasters
3:hili balaa _ solo thang
4: nipe gwara _ paipam soldier
5: paipam soldier ft g nako
Mama original version haijawahi kupatikana humu nshaitafta sana. Nadhani mdau atakuwa anaitaka hiyo. Humu ipo mama rmx tuJaribu kurudi nyuma zipo
Mama ya nani - FungukaMama original version haijawahi kupatikana humu nshaitafta sana. Nadhani mdau atakuwa anaitaka hiyo. Humu ipo mama rmx tu
Najaribu kuvuta ila haiji.. Ila wimbo nafikiri ninao!!Kuna wimbo wanaimba "nasi tulikubali kwa maisha yote ya raha hata shida, iwe kwa dhiki magonjwa na raha tulikubali...." ni bongo fleva mwenye nayo atupie plz
Crazy GK nduguMama ya nani - Funguka
Najaribu kuvuta ila haiji.. Ila wimbo nafikiri ninao!!
Hukumbuki jina la msanii??
1.Mbona by PNC
2.Bongo.com by TNG
3.Sauti ya gharama na ingewezekana by d knowb
4.Nilikataa by Topband
5.Niamini by Dorro ft berry black
6.Joanita by pingu na desso
Mwenye nazo aniwezeshe wakuu
Yah hapo sawa..Rudi Mpenzi - B.D.P
Kuna nyimbo ya qchilla naitafuta sana..natamani machozi yanitoke mwenye nayo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitupie mkali wangu naona wadau wamelalaYah hapo sawa..
Mkuu naomba tuanze na ya dorro niamini iWatakupa wadau hapo itakayokosekana utanishtua jombaa.