KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
AKILI TRIBE FT FID Q BONGO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AKILI TRIBE FT FID Q BONGO
Nafkiri wimbo unaoutaka unaofanana na hiko kinanda hapo chini ni huu wa Dj Khaled nafkiri sio Usher Raymond.
Mkuu ni kweli una skio la muziki na kweli hiko kinanda kimefanana pia aisee.
Lakini bado sikio langu linakataa kuwa sio huo itakuwa ni wa Usher japo ni mpenzi wa Hip Hop ila bado sikio linakataa mkuu.
Asante sana mkuu, kula likes na [emoji471] nimeutafuta kitambo sanaNdio wenyewe??
uswahilini matola hao walioimba kosa la marehem.natafuta wimbo flani hivi ukiitwa 'Zakaria' ikimaanisha dudu au mti ngozi . ulikuwa ni wimbo wa bongo fleva. Pia mwenye wimbo wa anti-virus original version aweke hapa
Big up sana.. Hii Party ya Kiutu Uzima nilikua naisaka sana..Good music,enjoy!
Mkuu, sio vizuri kuimwaga simu yako hadharani hapa. Ungemtumia muhusika PM.Kama unataka kuja home ninao ila nashindwa kuutuma humu anayeweza anitumie picha kwa whatsapp namba 0762207311 ya jinsi ya kutuma mp3 au mp4 jamii forums
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishaupata