Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 306
- 103
Kali p wodi ya vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wimbo kuna mtu alileta title nikautafuta na kuuweka hapa. Ila nimesahau jina. Kama una jina la msanii ama wimbo lete hapa tukupatieMwenye wimbo ule unaopigwa TBC kipindi cha bango yani beat flani hivi LA huzuni mnigee KIOO binswedi Idimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina kaka.KIOO binswedi Idimi heshima kwenu wakuu manake mnafanya Uzi huu upendeze kila nyimbo tunayoitaka tunaipata kupitia kwenu mbarikiwe sanaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa man. Enjoy. Kizuri kula na wenzako
Huu hapa Man. EnjoyNimefulia AT FT BENJAMIN
Huo wimbo kuna mtu alileta title nikautafuta na kuuweka hapa. Ila nimesahau jina. Kama una jina la msanii ama wimbo lete hapa tukupatie
Pia wimbo wa AY FT FA ZORRO SAFI HIYO AUDIO YENYEWE SIYO CONVERTED KWA YOU TUBEMWENYE NYIMBO HIZI ANISAIDIE
AY_______________INATEGEMEA NA MTU
_________________YULE
__________________NIPE NIKUPE FT PREZO
Ahsante sana audio imetulia hafu HQ na ina sauti kaliHuu hapa Man. Enjoy
huo ni wimbo wa mwanadada anaitwa Enya ila jina la wimbo nimesahauYani mkuu hata sijui kaimba nani mi naskiaga tu beat pale TBC kwenye bango,beat lake limekaa kimaombolezo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaitwa Joint Mobb wako na Juma nature
Wanaitwa Joint Mobb wako na Juma nature
Asante mkuuHizi hapa man. Enjoy. Kizuri kula na wenzako
Amina kaka.
Kizuri kula na wenzako. Ila KIOO ndio anatisha sana kwa library yake
Pia wimbo wa AY FT FA ZORRO SAFI HIYO AUDIO YENYEWE SIYO CONVERTED KWA YOU TUBE