Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Amina kaka.
Kizuri kula na wenzako. Ila KIOO ndio anatisha sana kwa library yake

Daaaaaaah.

Mkuu, unajua kazi ambayo unaifanya hapa jukwaani sio ndogo hata kidogo kiongozi. Mie binafsi nathamini sana mchango wako.

Kwa sababu kuna nondo nyingine unaziweka hapa hata kwenye maktaba zangu huwa nazikosa mkuu. Kwa hiyo kazi unayoifanya hapa mie binafsi nai-appreciate kwa kiwango cha hali ya juu kabisa kiongozi wangu.

Much respekt bro.

👊🏽
 
Back
Top Bottom