Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Hahahahah. I appreciate mkuu.

Kiukweli sio DJ kiongozi wangu, ila tu nimetokea kuupenda sana muziki tangu udogoni kitu kilichopelekea kuangukia kuwa an artist broh.

Ila kiukweli napenda kuskiliza muziki wa aina yoyote ule ambao unavutia na kupenya kwa urahisi maskioni mwangu mkuu.

Thanks again & again bro.
Lil wayne uproar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luna wimbo mmoja sikumbuki kaimba nani ila unaimbwa hivi "nimekufananisha we Dada nimekufananisha we sista ndio mana nimekuita" hiyo ni baadhi ya maneno kwenye kiitikio biti lake linataka kufanana na la kwenye wimbo nilonge nisilonge wa h mbizo nisaidieni tafadhali mwenye nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo mmoja ulikuwa unapigwa kwenye kipindi cha wagonjwa redio tanzania kipindi hicho kipande chake kinaimbwa hivi " wakati umewajia wa salam kwa wagonjwa wote hospitalini Leo tunawapa pole" sijajua kama wimbo upo full au ni kipande tutafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom