Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta wimbo wa kundi la "CBM crew" ay ft viviani, walikuwa watatu nadhani ktk hilo kundi
Naomba nyimbo ya msanii Q-jay.
1. sifai
2. Kitu gani ft d'knob
hahahaha🤣🤣🤣🤣 waliovukia bahari ya Shamu au?Hakuna nyimbo nayoitafutaga nikaikosa hadi wimbo wa mussa ninao.
Write your reply...wadau naomba hizi nyimbo 1. deo mwanambilimbi-Siwezi sema kwanini. 2.nasma khamis kidogo-subalkheri mpenzi...nimezitafuta sana
Lina song kaimba Langa unaitwa Fikra Potofu...kindly assist wakuu
Mwe
Mwenye wimbo wa Nash MC mitihani naomba
NI WA CAZ T FT MKOLONIKuna wimbo mmoja sijui kaimba Caz T kuna baadhi ya maneno anaimba hivi "Tulipotoka ni mbali ni mbali tuvumiliane sahau yote yaliyopita tugange yajayo"mwenye nao tadhali autupie tuupakue
Nifanyie mpango kama unao?NI WA CAZ T FT MKOLONI
Mkuu KIOO usinisahau na zile ngoma za Eminem