KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Dah. poa poa naingoja
D'worry my dear...! One.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah. poa poa naingoja
mzee baba kuna ngoma za hip hop za madada kama unazo nisaidie
1: Vivian ft duly Sykes _ siwaelewi
2: queen darling _ nikuite nani
niorodhoshee nikutumie mkuuMkuu Jose, nina uhitaji wa baadhi ya nyimbo.
Tafadhali if you can do the needful.
niorodhoshee nikutumie mkuu
Don Clericuzio, post: 31801591, member: 467482 akikutumia kama utakuwa unauhitaji na mm ntakutumia maana nna nyimbo za roman 100+
Nyimbo za kikatoliki zote zinafanana .Ukisikiliza wimbo mmoja unatosha..Zingine huhitaji sababu beat uimbaji Ni ule ule .Tafuta wimbo mmoja uwe hup huu unaurufia rudia kuupiga.Sababu hata ununue nyimbo Mia za kwaya za Katoliki wanachotofautiana Ni maneno tu yaliyoko kwenye nyimbo Lakini beats na uimbaji Ni huohuo waweza ishia Yu kusinzia ukizisikiliza.Yaani uimbaji wa hizo Ukisikiliza Zina tabia ya kumlaza mtu usingizi.Zomekaa Kama nyimbo za mazishi.
SIO KWELINyimbo za kikatoliki zote zinafanana .Ukisikiliza wimbo mmoja unatosha..Zingine huhitaji sababu beat uimbaji Ni ule ule .Tafuta wimbo mmoja uwe huo huo unaurudia rudia kuupiga.Sababu hata ununue nyimbo Mia za kwaya za Katoliki wanachotofautiana Ni maneno tu yaliyoko kwenye nyimbo Lakini beats na uimbaji Ni huohuo waweza ishia Yu kusinzia ukizisikiliza.Yaani uimbaji wa hizo Ukisikiliza Zina tabia ya kumlaza mtu usingizi.Zimekaa Kama nyimbo za mazishi.
HAPO NNAYO MOJA, HIYO YA PILI (sema ile aliyoimba STEVEN KANUMBA {RIP} )Majina ni changamoto, ila ninaweza kuweka lyrics:-
Kwa kuanza naomba hizi.
- Yesu alipokuwa ameketi mlimani Mizeituni, wanafunzi walimwendea wakamuuliza, tuambie mambo haya yatakuwa lini...
- Nitayainua, macho yangu, nitazame mlima, msaada wangu utatoka wapi...
Ziweke hata mbili wataalamu wa nyimbo wazichambue kuanzIa beat sauti nk .Weka hapa zozoteSIO KWELI
BWANA ALIKUWA TEGEMEO LANGUZiweke hata mbili wataalamu wa nyimbo wazichambue kuanzIa beat sauti nk .Weka hapa zozote
HAPO NNAYO MOJA, HIYO YA PILI (sema ile aliyoimba STEVEN KANUMBA {RIP} )
Asante sana mkuu,nipe PayPal yako nikupe ya bando aseee mana sio kwa bidii hii
Nitafutie ule wa tot taarab nyama ya bata ni tamu nyama ya bata ni tamuD'worry my dear...! One.
poa poa mkuuHiyo ya kwanza siipati kabisa, ngoja nitamtafuta jamaa yangu mmoja hivi ana database ya hizi nyimbo, sema muda sana sijamcheki.
HahahaNyimbo za kikatoliki zote zinafanana .Ukisikiliza wimbo mmoja unatosha..Zingine huhitaji sababu beat uimbaji Ni ule ule .Tafuta wimbo mmoja uwe huo huo unaurudia rudia kuupiga.Sababu hata ununue nyimbo Mia za kwaya za Katoliki wanachotofautiana Ni maneno tu yaliyoko kwenye nyimbo Lakini beats na uimbaji Ni huohuo waweza ishia tu kusinzia ukizisikiliza.Yaani uimbaji wa hizo Ukisikiliza Zina tabia ya kumlaza mtu usingizi.Zimekaa Kama nyimbo za mazishi.