Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu nauomba wimbo unaitwa Sijali, umeimbwa na kasim mganga
 
Habari wana jf!
Mimi nimetafuta bila mafanikio wimbo wa Bob Marley wenye maneno "i'm in my single bed, i am a rastaman' wimbo huo sijui jina lake, naombeni msaada.
 
Huo huo mkuu ukifanikiwa kuwa nao nauomba sana.

Mkuu, kuutuma huo wimbo inahitajika ifanyike kazi ya ziada coz ipo kwenye live band kama ulivyoitaka na pia ni file kubwa sana linaenda almost lisaa limoja kiongozi wangu.
Screenshot_20190626-190758.png
 
Mkuu, kuutuma huo wimbo inahitajika ifanyike kazi ya ziada coz ipo kwenye live band kama ulivyoitaka na pia ni file kubwa sana linaenda almost lisaa limoja kiongozi wangu. View attachment 1139304
Damn!

So bro hakuna namna tunaweza fanya nikaipata?nikuache utulie nayo ukiweza kui-convert naomba unitag mkuu,or maybe W'app?
 
Habari wana jf!
Mimi nimetafuta bila mafanikio wimbo wa Bob Marley wenye maneno "i'm in my single bed, i am a rastaman' wimbo huo sijui jina lake, naombeni msaada.

Huo wimbo sio "Is This Love...?"

"...I wanna love you, and treat you right
I wanna love you, every day and every night
We'll be together, with a roof right over our heads
We'll share the shelter, of my single bed...!".
 
Back
Top Bottom