Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo huo mkuu ukifanikiwa kuwa nao nauomba sana.Dotinata...!
Huo huo mkuu ukifanikiwa kuwa nao nauomba sana.
Ndio mkuu nauomba huu wimbo nilishautafuta sana bila mafanikio!..Tabu, tabu na wewe...! Shida na wewe...! Mateso na wewe...! Bahati mbaya na wewe...! Au...?
Damn!Mkuu, kuutuma huo wimbo inahitajika ifanyike kazi ya ziada coz ipo kwenye live band kama ulivyoitaka na pia ni file kubwa sana linaenda almost lisaa limoja kiongozi wangu. View attachment 1139304
Habari wana jf!
Mimi nimetafuta bila mafanikio wimbo wa Bob Marley wenye maneno "i'm in my single bed, i am a rastaman' wimbo huo sijui jina lake, naombeni msaada.
Damn!
So bro hakuna namna tunaweza fanya nikaipata?nikuache utulie nayo ukiweza kui-convert naomba unitag mkuu,or maybe W'app?
Kama itawezekana bro naomba link.Labda nikupe link ui-download sehemu...!
Wakuu nauomba wimbo unaitwa Sijali, umeimbwa na kasim mganga
Soka LA Bongo...Wagosi wa Kaya
Hahahahah, una maneno wewee. So lovely.
Haya teali nimeshapapoza ati.
Hatari sana mambo ya MEGATRON
Hatari sana mambo ya MEGATRON
ha ha list yako iko vizuri sana,,feel the vibeningendako. .nakuona ujue
ha ha list yako iko vizuri sana,,feel the vibe