KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Poa Mwanangu Nipo Kimara... Endelea Kudondosha Zingine Za K Sal Kama Unazo...
Au ndio wewe nini umepoteza nyimbo zako aisee...?
😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa Mwanangu Nipo Kimara... Endelea Kudondosha Zingine Za K Sal Kama Unazo...
Hapana Kaka Sio Mimi... Mwanangu Mimi Napenda Sana Mziki Asee.. Na Napenda Ngoma Za Kitambo Miaka Ya 2000's Hv.. Yaani Nikikutajia PlayList Yangu Utasema Yes.. Na Hapa Nimedanlod Ngoma Zaidi Ya 800...Au ndio wewe nini umepoteza nyimbo zako aisee...?
😀
NAOMBA WIMBO WA K-SAL WA STAREHE NA FEDHA NI KAMA MAPACHA.
NAOMBA WIMBO WA K-SAL WA STAREHE NA FEDHA NI KAMA MAPACHA.
Asee Nashindwa Kuuweka Kupitia Simu Mzee... Cjui Unawekwaje?NAOMBA WIMBO WA K-SAL WA STAREHE NA FEDHA NI KAMA MAPACHA.
Mwanangu Nakwama Kwenye Kuattach Ngoma... Ila NnayoNAOMBA WIMBO WA K-SAL WA STAREHE NA FEDHA NI KAMA MAPACHA.
NAOMBA WIMBO WA K-SAL WA STAREHE NA FEDHA NI KAMA MAPACHA.
Huu wimbo vp haupatkani
Mary ya Juma Kakere naitafuta sana bila mafanikio. Mwenye nayo atusaidie tafadhali.
Kioo nazidi kukukumbusha ile ngoma yangu ya remmyImekuwa vizuri umenikumbusha mkuu. Thanks.
Kwa majina naitwa prem natafuta nyimbo ambayo siijui jina wala msaniiHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Naomba uniambie Tell me maa
Usinifiche uniambie Tell me maa
Naona mda unazidi kwenda Lady
Na masiku yanakatika baby
Sijajua kipi unataka kunambia Nambiee
nambie mpenzi ●
Mwenye huu wimbo anisaidie hapa wakuu, simkumbuk jina alieimba ila wimbo unaitwa Tell me kama sijakosea .
ishawekwa humu mara kibao! peruzi utaaikutaMkuu Kioo ngoma ya Enika barid kama hili npate vitu vya Roy toka G2 record