Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo mmoja wa injili umeimbwa kiswahili kwa mahdhi ya kizuru bahati mbaya siujui jina na muimbaji simjui
 
Wakuu naomba wimbo wa Bendi ya Dansi ilikuwa Morogoro inaitwa Mikumi Sound wimbo Mama Mkwe Kisa Gani?? Natanguliza shukrani!!
 
Wakuu mwenye instrumental ya bone thugs-n-harmony African crossroads, Hususan ile beat yake. Ninaiomba kwa mwenye nayo.
 
Natafuta jina la wimbo wa kongo ambao ulipigwa wakati mpiganaji wa kongo akiwa anaingia uringoni kupambana na MWAKINYO ile tarehe14/8/2020
 
Mwenye wimbo was twanaga pepeta mwana dar es salaam.Naomba atupie.Nimeutafuta bila mafanikio.
 
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Kifo wa TID au ule Funguo wa SNARE yule wa East Coast.
 
Mwenye wimbo wa MAMBO NANENANE, unapigwagwa sana kwenye harusi. Ndani ya huo wimbo kuna mtu anasikika anapuliza filimbi.
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Msaada natafuta wimbo wa karola kinasha mwenye nao anisaidie
 
Mkuu ukinisogezea hizi ngoma itakua poa sana

1. Sick of being lonely-Field Mob
2.Friend like me-Wayne Wonder
3. Love song- Etana
4. Weakness in me -Etana
5. Dont let go -En Vogue
6. In my bed- Rotimi
7. Neck of the woods- Birdman
8. Leta wimbo -Sema
Natanguliza shukran zang
 
Back
Top Bottom