Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah mzee huo wimbo mkali sana naukumbuka miaka hiyo naishi MoroWakuu naomba wimbo wa Bendi ya Dansi ilikuwa Morogoro inaitwa Mikumi Sound wimbo Mama Mkwe Kisa Gani?? Natanguliza shukrani!!
Anaejua ameimba nani anipe msaadaKipande cha audio ichoView attachment 1539281
Shukrani sanaEster wasira-sheilaView attachment 1534577
Msaada natafuta wimbo wa karola kinasha mwenye nao anisaidieHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Wadau nafuta wimbo was MWANA DAR ES SALAAM WA TWANGA PEPETA.Naukubali kinoma