Tajiri Bakari
Member
- Aug 13, 2020
- 7
- 5
Wanaitwa Daz nundazNaombeni wimbo wa "matatizo kotekote" una kiitikio cha wimbo wa lady jaydee....ni wa rap zamani kidogo 2000+ na kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaitwa Daz nundazNaombeni wimbo wa "matatizo kotekote" una kiitikio cha wimbo wa lady jaydee....ni wa rap zamani kidogo 2000+ na kitu
YouTube hakuna nyimbo zote kuna nyingine hakuna kabisaNyimbo zote zipo yuchubu
Zote ziponiaje wadau kuna nyimbo nazipenda lakini kuzipata imekua changamoto:
enika - baridi kali
dunga,linex - nataayu
Shughuli inakuja kuuweka kwa Jamvi..Jaman mwenye wimbo wa Nikki mbishi na sterio-feedback aitupie
Kuna taarabu za zamani sana kama sikosei waliimba TOT
Inasema nimepata wangu fundi, amepima bila hofu, amepima kiufundi upana hata marefu.
Alafu, dereva wangu tulia hapa kwangu umetua. Ile albam ilikiwa moto miaka ya 92/93
Natafuta Wimbo wa Senzo-Rasta Wakeup.
...........
[emoji23]Oii Oii... Enjoy Mzee,, Hii Ngoma Niliitafuta miaka 7 Nyuma... Juzi nimekuja Ikuta Kwa Jamaa Ambaye Hanaga Mda Na Mziki Kabisa[emoji23][emoji23]
nimeupata kipande huu wimbo kama unaujua au unao please do share nimeutafuta sana na hapa kuna mtu aliusikia mahali akanitumia. Ni wimbo wa gospel unaelezea yesu na wale wezi wawili pale msalabani. Kama unao au unwajua waimbaji nisaidieni nitashukuru sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ni dharau au ama ni nini? Yaani hakuna anayeufahamu huu wimbo kabisaaaa