Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta huu wimbo sijui nani kaimba[emoji116]View attachment 1557866
love ntwiti (east Africa remix)_Ckay ft RayvanNatafuta huu wimbo sijui nani kaimba
Thanks jembe langu umetisha sana.....love ntwiti (east Africa remix)_Ckay ft Rayvan
Kuna wimbo wa kilugha wa zamani 80s sina hakika ila nadhani ni wa kihaya na sijui vzuri maneno wala mwimbaji zaidi ya rythm ya wimbo. Mwimbaji ni mwanaume na baadhi ya maneno yana mwelekeo huu hapa.
".....Mborobonde Mborobonde eeeeyaa ainaaina karikela karikuna eeeeyaa ainaaina...."
Mchaka mchaka mkimbilie Yesu kinondonu rivivalHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.