tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Maumivu by Washkaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wimbo ninaoutafuta mimi lyrics zake ni "samahani dada naomba namba yako moja tu, nataka kuongea mimi na we, nataka nikueleze jinsi gani ambavyo mi, moyo unapenda kuwa mimi na we, we dada weeeeee, unanifanya mi nakosa raha, ni we dada wewe, sababu mi nakupenda sana"Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hii nyimbo ya Ngwair. Dakika moja. Iko Album ya Ngewimbo ninaoutafuta mimi lyrics zake ni "samahani dada naomba namba yako moja tu, nataka kuongea mimi na we, nataka nikueleze jinsi gani ambavyo mi, moyo unapenda kuwa mimi na we, we dada weeeeee, unanifanya mi nakosa raha, ni we dada wewe, sababu mi nakupenda sana"
nimesahau maneno vizuri, wa zamani sana, jina sikumbuki muimbaji sikumbuki
Mwimbaji anaitwa bhudagala, wimbo nimeusahau jina..Natafuta wimbo mmoja hivi naupenda sana japo sijui ameimba nani...
Jamaa analalamika sana kwamba baba yake anampiga kwa fimbo mbele ya mkewe. Anahuzunika sana kisha anauliza baba kama ulijua mimi ni mdogo sasa kwanini uliniozesha
(anachanganya na lugha fulani ya kikabila nadhani ni kisukuma na hata mahadhi ya wimbo yamekaa kisukuma)
Artist-BhudagaraMwimbaji anaitwa bhudagala, wimbo nimeusahau jina..
Nitakuwekea kama utakuwa hujapata na members wengine kuna nyimbo waliziomba ambazo ninazo nao nitawawekea, nilisahau password nikawa nashindwa kuingia kwenye PC ila nimefanikiwa leo.Wakubwa naombeni wimbo wa TWANGA PEPETA walimwengu usiwe converted from YouTube.
Wakubwa naombeni wimbo wa TWANGA PEPETA walimwengu usiwe converted from YouTube.
Dah nashukuru ndugu yangu ngoja nikagoogle hilo jina nadhani nitaupataMwimbaji anaitwa bhudagala, wimbo nimeusahau jina..
AsanteArtist-Bhudagara
Song-Mmaporu (porini tafsir yake)
Nimeupata aisee nashukuru sanaArtist-Bhudagara
Song-Mmaporu (porini tafsir yake)
Kuna wimbo fulan wa bend hv ya zamani baadhi ya kipande chake kinaimba hv
"...... Kushindwa kutoka ahhh hapa nyumbani.. najuta eh najuta nimekosa najuta eh najuta nisamehe...
Fikiri naomba unisamehe kushindwa kutoka ahhhapa nyumbani......."
Msaada wakuu
Diamond sound- neema kumbuka
Nimekuwekea Kanizimia, hiyo mingine sinamwenye nyimbo hiz jaman kaka yuko town by UVC ,Kanizimia by K basil ,Nataka by Wandago family.nimezitafuta sana mwenye nazo pliiz 👏 natanguliza shukran
Nautafuta wimbo wa krismas wazamani wa NOEL.....Unaimbwa
"Tufurahitufurahi na mwaka mpya tuvae,tunywe pombe na mwakampya ooooomama noele mama noele mama na krismas oooyeee"