Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Naomba mwenye Wimbo wa Hammer Q "gharika la moyo "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mwenye Wimbo wa Hammer Q "gharika la moyo "
Acha mimi niende BY MezB...
Mwenye nao autupie humu
MGENI - KAPTENI KOMBA
AKATAMBALA - MAUA CHENGULA
Upo, utafute unaitwa TUMEJALIWA SANA SISI TANZANIA wa Captain John kombaNi wajibu kumshukuru baba nyerere
Wakuu naombeni mnipatie wimbo wa kina Ali Choki wa Extra Bongo Wana Bongo
Nina nyimbo nyingi za MP3 za aina mbalimbali Zilipendwa, Bakulutu, Bongo Flavour, Charanga, Reggae, Twist, Kwaya, Taarab, R&B, Mduwara, nyimbo za Kihindi, Kiarabu nk.Mkuu Mtumpole shukrani, huu wimbo nimeutafuta muda mrefu.
Shukran Sana chief...kuna nyimbo nyingine nimekuwa nikiitafuta bila mafanikio ya stara thomas- nakupenda wewe....sina uhakika na jina la nyimbo Ila Nina asilimia 70 unaitwa hvyo naimani utakuwepo nao[emoji120] [emoji3]