Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo mmoja wa Raggae simfahamu muimbaji.

Muimbaji kwenye chorus anaimba "Mi gimme dem dey want mi gimme, Me gimme dem dey want me gimme.
 
Shukrani sana mkuu. Alafu kuna wimbo niliusikia sana kati ya 2010 na 2011, nakumbuka kiitikio
"Nitalia, nitaposikia
umeunganishwa na jina langu".
Nahisi unaitwa Makange, na ameimba mdada flani hivi hata jina silijui.
Kaimba jasmin alikua tht,ninao huu wimbo
 
Humu ndani nimepiga mekelele sana nisaidiwe wimbo wowote wa kundi la MOB MASTERS, lakini watu wanantolea macho tu.

MOB MASTERS ni kundi la miaka ya 90 la Afrika Kusini, lilikuwa linapiga muziki wa vyombo vitupu na miondoko ya Electronics mchanganyiko na Khwaito. Nyimbo yao mojawapo ni Palamba.
 
Kuna wimbo kaimba Lord Eyez feat Ben Pol. Wa nyuma kidogo, aliye nao msaada wakuu
 
Kuna nyimbo naitafuta sana ila kila nikigugo au hata Youtube nikijaribu kundika nachokumbuka hakuna kinachokuja; niliusikia kw 2004 au 2005 ivi.

Baadhi ya verses zake ni ivi

" Pombe twainywa kwa glasi hata kwa chupa pombe twainywa kwa glasi hat kwa chupa...nipeni ninywe...." ckumbuk muimbaj kabisa ni nan cjui Q Chief cjui nani.

Naomba mnisaidie.
 
Back
Top Bottom