Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,401
- 2,336
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sio ?Hatunywi sumu hatujinyongi .....mbele kwa mbeleeee. Tumeipenda wenyewe......
🥺🥺🥺Unaweza kunitumia pm?nime attach mziki wa fally mayday unakataa
Ingia juice mp3 utapata nymbo zote.utakuja kunishukuru.mm natafuta wimbo wa tuwaheshimu wazazi baba na mama pia wa ommy belima miondoko ya kaswida nimejaribu kutafuta bila mafanikioNaomba mwenye wimbo wa Mayday na Service zote za Fally Ipupa pamoja na Give me some sunshine wa Suraj Jagan & Sharman Josh.
Natanguliza shukrani!
hakuna mwenye huu wimbo kweliNaombeni wimbo wa soul n faith niwe nawe
Kuna radio nasikiliza nikakutana na nyimbo ya Mr ebo ikabidi nitulie nisikilize ...Hizi hapa kijana. Enjoy
JF ni hazina kubwa sana. Mr. Ebbo kwenye album yake ya Fahari yako aliimba mambo mengi ya msingi sana. Mungu amjalie pumziko la mileleKuna radio nasikiliza nikakutana na nyimbo ya Mr ebo ikabidi nitulie nisikilize ...
Asee udongo umekula kichwa tungekuwa nacho mpaka leo daa RIP Mr ebo tungo ya hio nyimbo ya sitaki tena pombe sio ya kawaida
Ikabidi Ni search Mr ebo jamiiforum nione Kama alishaongelewa ndo nikakutana na huu uzi
ni kwaito ya zamani ama mpya?kuna kwaito moja hivi sijui ya kisauzi corus yake kuna maneno kama "chali nnakukuna anasuu chali nakukuna ""sjui ndo hivyo 😁😁😁
zaman sana enz za kina chakachakani kwaito ya zamani ama mpya?
Katika hizo nilizo upload hapo juu haipo?zaman sana enz za kina chakachaka
Wakati unasubiria madj wetu wakirekebisha mitambo, hii hapa ikuburudishe kidogokuna kwaito moja hivi sijui ya kisauzi corus yake kuna maneno kama "chali nnakukuna anasuu chali nakukuna ""sjui ndo hivyo 😁😁😁