Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna kwaito moja hivi inachorus, " iyee, iyee.. iyeee.... Iyeee iyeeee"...... Mwenye kujua please naomba share nami ....
 
Wapendwa na mimi kuna nyimbo naitafuta ya wazungu ya zamani inahusu holiday. Watu wanatupiana makeki, mayai ila nakumbuka tu sehemu wanaimba "laa lalalalalala hey hey hey" X 2 then "I need some holi holi day, you need some holi holi holi day, she needs some holi holi day everybody needs some holi holi day"
Naamini ni wimbo wa "Boney M" unaitwa "Hooray! Hooray! It's a Holi-Holiday "
 
Kuna wimbo niliusikia miaka ya nyuma kidogo unaimbwa "...arise arise the glory has come arise arise it's a new world.. ooh oooh arise Africa oooh ooooh it's a new day..."
 
Hii nchi tumetawaliwa na mabepari kwa muda mrefu sana. Hii serikali yetu pendwa naomba itusaidie japo tupate video ya wimbo wa taifa.
 
Mkuu jamaa anaimba gere unanionea mie, nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambua kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Nisaidiwe huo wimbo jamani.
Huo wimbo ninao, ila sijajua nimeuweka katika drive ipi.
 
Wapendwa na mimi kuna nyimbo naitafuta ya wazungu ya zamani inahusu holiday. Watu wanatupiana makeki, mayai ila nakumbuka tu sehemu wanaimba "laa lalalalalala hey hey hey" X 2 then "I need some holi holi day, you need some holi holi holi day, she needs some holi holi day everybody needs some holi holi day"
Boney M hao nadhani
 
Mkuu jamaa anaimba gere unanionea mie, nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambua kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Nisaidiwe huo wimbo jamani.
Haya, huu hapa. Enjoy. Umeimbwa na Hassan Bitchuka akiwa Sikinde. Mwanzoni niweka ambao hauna quality nzuri, now nimeweka wenye quality nzuri.
 
Attachments

Natafuta nyimbo 2 za dansi za vijana jazz,
1.Watoto wamekuja juu wanadai nyumba yao.
2.Matapeli "bwana mangushi nakupa pole sana kwani hao ni walaghai wanaitwa matapeli ooh"
Zinazo sikika vizuri.
 
Natafuta nyimbo 2 za dansi za vijana jazz,
1.Watoto wamekuja juu wanadai nyumba yao.
2.Matapeli "bwana mangushi nakupa pole sana kwani hao ni walaghai wanaitwa matapeli ooh"
Zinazo sikika vizuri.
Wimbo wa "Watoto Wamekuja Juu" original version ni ya Vijana Jazz. Baadaye mwanamuziki Komandoo Hamza Kalala aliurudia kwa Master Jay, ambapo umerekodiwa kwa ubora wa haki ya juu sana. Nimekuwekea zote mbili. Huo wa Matapeli nao nimekuwekea, quality iko vizuri sana. Enjoy mwamba. Usisahau kugonga like
 
Attachments

Back
Top Bottom